BEAH NUTRI-FLOUR
Member
- Mar 7, 2018
- 30
- 11
Hii ndo picha ya sampo za unga wetu.. Karibuni snKwa mahitaji ya unga wa lishe ulio bora kabisa na asili 100% uitwao Beah Nutri-Flour wenye mchanganyiko wa Ulezi, Soya, Karanga, Mahindi Lishe na Mbegu za maboga plz nicheck kupitia 0769112563 / 0658224994.
Unga huu ni mahususi kwaajili ya kuboresha afya ya mtoto kwanzia miezi sita mpaka mzee kikongwe.. Ni mzuri kwa mama wajawazito, wanaonyenyesha na wagonjwa pia (haswa wenye kisukari na presha)
KILO 5,000TU
NIKO MWANZA ILA MIKOA YOTEE NATUMA
KARIBUNI SANA!
Hii ndo picha ya sampo za unga wetu.. Karibuni snView attachment 718528
Si huwa nasikiaga eti hizo mbegu zinaongezaga nguvu za "kupiga kazi"!Nyie watu wa lishe mnataka kutuulia watoto kwa kujifanya wabunifu saaa mambegu mpkaa ya maboga ya nn kwenye uji wa mtoto aaaaagh