Nauza ufuta

Nauza ufuta

segela

Member
Joined
Jun 28, 2013
Posts
78
Reaction score
69
Wadau salaam,

Ninao ufuta mpya kwa anayehitaji, pia kama unafahamu palipo na solo lake unijilishe,
 
Kuna wahindi wananunua ufuta kwa wingi sana wako hapo karibu na Tazara hata kama una fuso limejaa ufuta we wa peleka.
Ntaku pm namba ya m husika mule ndani...Ila tu uwe na mzigo
 
Kilo sh ngapi mkuu?..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom