mtotomtamuu
JF-Expert Member
- Dec 4, 2016
- 602
- 1,463
Bado mpya nahitaji kununua 50 inch
weka ofa yako hapo
weka ofa yako hapo


150k nikuchek pm
halafu mwana mbona unapenda kurukia nyuzi za watu.. kwani huwezi kuanzisha wako?!

Shilingi ngp?
250k
Kila kitu kama nini?hamna mnunuaji hapaBro hiyo TV umeshauza tayari?
Kama bado ipo,imeitumia muda gani...
Uko wapi...
Ina kila kitu?!
Bei yako ni ipi?





Yaani ununue Star X kwa laki 7??? Acha utani. Hapo unapata mbili
700k,nipm tuongee!naweza kuongeza kama hujaridhika!