Nauza tshirt printer ( heat press machine) heavy duty

FRESHMAN

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Posts
9,506
Reaction score
36,165
Habari wadau.

Nauza mashine yangu ya kuprint tshirt mpya kabisa kwenye box lake..

Nilinunua mwanzoni mwa mwaka huu kwa ajili ya kuanzisha biashara ya kuprint tshirt...

Sababu ya kuuza ni nimeshindwa kufanya biashara baada ya nyumba yetu mbezi luis kupigwa x kwa ajili ya bomoa bomoa.. Na fremu niliyopanga kuitumia ni ya pale home mbezi.. Bomoa bomoa imeniharibia mipango yangu...

Heat press nauza laki 8 na nusu tu ( 850,000) ina warranty 1 year na manufacture anaitwa stahls . Ni zile kubwa kabisa a-3

Ukihitaji kuiona piga namba ya simu 0712521615

Picha najaribu ku upload zinasumbua...

Inatumika kwa kuprint tshirt, hand kerchiefs na mito na pia kuweka majina kwenye jezi za michezo
 
Ntumie picha watsap 0758728258
 
Bado ipo?

Think Wisely Before Posting a Comment,.. You're being watched!
 
Aliyetumiwa picha ajaribu ku-upload hapa jukwaani wakuu. Thanks.
 
Nawasilisha kama nilivyotumiwa
Features & details
Heat Press Teflon Sheet Included
Voltage:110V Power:1800 W
Temperature Range:0-500F Time Range:0-999 s

 
nicheki nipo mbeya tufanye biashara kwa namba hii 0758508648 piga tu nipo hewan muda wote au nitumie data zote za hiyo mashine kwa namba hiyo hiyo natumia whatsapp
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…