Nauza Rav 4 namba C ya mwaka 1998
Kamata 8m
mkuu mbona unajipangia bei...utaibiwa subiri atoe bei kwanza
Mkuu upumbavu wake nini? Mbona unahukumu watu, wakati wewe huwajui watu wote? Mtoa tangazo kaweka bei? Unajuaje labda ni mnada? Acha hizoMkuu hao ni wale watu hawana hata kitu wapumbamvu sana hao anasema m8 kumbe nauli ya daladala anakopa, pumbavu huyo
Tangazo gani hiliNauza Rav 4 namba C ya mwaka 1998