Nauza toyota raum DLZ 8.5Million

Nauza toyota raum DLZ 8.5Million

hangakwee

Member
Joined
May 2, 2016
Posts
96
Reaction score
54
Nauza toyota Raum DLZ
Ipo Mbezi Beach
Contact 0718221009
0744952984
IMG-20181209-WA0022.jpg
IMG-20181209-WA0024.jpg
IMG-20181209-WA0018.jpg
IMG-20181209-WA0025.jpg
IMG-20181209-WA0021.jpg
IMG-20181209-WA0016.jpg
IMG-20181209-WA0026.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gari zuri, tatizo moja tu.
Milango ya siti za abiria akitaka kushuka mpaka dereva ushuke ukamfungulie kwa nje.
Dizain kama milango ya Noah. Siipendagi kama nini.
 
Pole sana mamab Debora. Ila hata kwa ndani unafungua mbona?

Msalimie Debora. Usimsalimie babaake, staki kukuletea matatizo
 
Mmmh... Bado amelala mwanangu.
Lakin kaka, mbona nakumbuka Boyfriend wangu (alonitoaga bikra) alikuaga na kagari kama haka. Akasema gari zenye milango ya hivo, abiria wa nyuma hawezi kutoka mpaka mtu afungue kwa nje.
 
Mambo.
Usizoane na babu. Umeona gia yake kajifanya hataki kukupa matatizo.
Noma babu huyo tena naenda kumsemea kw bibi
 
Gari zuri, tatizo moja tu.
Milango ya siti za abiria akitaka kushuka mpaka dereva ushuke ukamfungulie kwa nje.
Dizain kama milango ya Noah. Siipendagi kama nini.
Du na huku upo unachafua biashara za watu.
 
Mmmh... Bado amelala mwanangu.
Lakin kaka, mbona nakumbuka Boyfriend wangu (alonitoaga bikra) alikuaga na kagari kama haka. Akasema gari zenye milango ya hivo, abiria wa nyuma hawezi kutoka mpaka mtu afungue kwa nje.
Si kweli,
Nina Toyota ISIS, unabonyeza tu kwa dereva mlango unafunguka. Labda kama iliwekewa "Lock" ya kulinda watoto wasifungue ambayo hua inatokaga tu ukipenda
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom