Nauza toyota ist

emanuel kiduvilo

Senior Member
Joined
Aug 5, 2014
Posts
165
Reaction score
20
Imetembea km 58300,cc yake 1292 year of prod 2002,bei 10.5 kwa mawasiliano tumia hz no 0768359292 na 0652359291,mie nipo dar na picha zake chin hapo
 

Attachments

  • 1415300404021.jpg
    33.4 KB · Views: 450
  • 1415300550761.jpg
    33.8 KB · Views: 437
  • 1415300597386.jpg
    46.4 KB · Views: 422
  • 1415300622131.jpg
    48.6 KB · Views: 405
  • 1415300643905.jpg
    42.6 KB · Views: 404
  • 1415300661861.jpg
    51.5 KB · Views: 410
Kwaioo bei utasandaaa sanaaaaaaaa
 
Duuh! muuzaji kakata ring mbaya, hata 1.2 m atachukua 2.
 
Kwa Tanzania hizi gari zipo bei ya chini sana mkuu sitarajii kufikia bei hiyo. Kwani kwa Japan tayari wameshaziweka kwenye Cleaning Open Market. Hivyo hata 850USD to 1000USD unaipata. Pamoja na kodi na usafiri haiwezi kufika 3000USD kwa Tanzania. Pengine ungeangalia soko kwanza kabla ya kuiingiza sokoni Brother.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…