Kwa Tanzania hizi gari zipo bei ya chini sana mkuu sitarajii kufikia bei hiyo. Kwani kwa Japan tayari wameshaziweka kwenye Cleaning Open Market. Hivyo hata 850USD to 1000USD unaipata. Pamoja na kodi na usafiri haiwezi kufika 3000USD kwa Tanzania. Pengine ungeangalia soko kwanza kabla ya kuiingiza sokoni Brother.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.