Nauza toyota harrier

Nauza toyota harrier

LoyalTzCitizen

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2010
Posts
2,323
Reaction score
1,088
Year; 2000
mileage; 75000kms
condition; outstanding
tr; automatic
colour; metallic black
rd licence; till sept 2015
all duties paid, imetembea tz mwezi mmoja na kwa sasa ipo imepakiwa tu
price 20M
more infos, nitumie pm
no time wasters tafadhali

natuma picha







 
altAuSVJgxAcsWk5AyXP0sOiSnc-DsSnicZfI7da_5cQ3az.jpgaltAvcsQL2EmChFPrPHBFsFaL7oyVUpWSDv4j3htE5c8wNk.jpgaltAq42IJXEyYBYlo6g4oIndWKNq8YNtL8osqoZsf8lGV1-.jpg
 

Attachments

cd changer, electric windows ni 5 doors kama inavyoonekana ipo ktk hali nzuri sana ndani na nje.
 
Imepungua iende 20M. Reduced to clear 20M:smile-big::smile-big:
 
Nikiagiza Harrier kama yako iwe kutoka BeFOrward, SBT, TradeCar, nk haifiki Milioni 15. Yaani una wazimu wewe. TAMAAAA MBAYAAAAA: Unadhani Harrier sasa hivi ni kama zamani kwamba ipo juu hivyo? Tena ya Mwaka 2000? Hahahah, kawauzie wa mikoani huko wasiojua thamani za magari.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom