Nauza Toyota Cresta GX 100

Kama unaweza kuweka na picha za hiyo gari ingekua poa sana! ili kuwavutia wale wateja wanaopenda kuona kwanza picha kabla ya kuvutiwa na kukupigia kwa ajili ya kufanya biashara.
 
Mbona haina side mirror ya kushoto?
 
Gari imesimama na umeitunza nzuri sana. Fanya 5m gari nzuri sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…