Nauza toyota carina TI

yaser

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2012
Posts
1,361
Reaction score
299
Nauza gari tajwa hapo juu. Bei ni 7.8m. Gari haina tatizo lolote ipo dar es salaam kigambon. Napatikana kwa 0713 806 766. Karibuni.
 
badili avatar utafanya biashara...hakika nakuambia
Pia kamilisha tangazo lako, i mean model, engine capacity na km ulizonyonga kwa wapemba
 
Mbona gari umepiga picha kenye Makaburi ya magari,maana kuna gari moja hapo naona limechutama kama Dada mlevi anakojjoa porini aisee.Na kule mbele naona mzee kachokaaaaa,ameisha sizzzzzzzzzzz anasubiria wazee wa scraper wakampunguzie uzito.

Yote kwa yote gari nzuri,ila angalia sana mazingira ya kupigia picha,maana Mzima huwezi kukaa na wafu lazima utakuwa na matatizo,sasa gari zima limekaa na gari wafu,aiseee
 

Ndiooooo
 
Mtayauza sana mwaka uu naona na wewe ushaanza kuisoma plate number
 
Bora ujenge kwanza kabla ya kuwa na gari unaona sasa unakuwa dalali wa gari lako.
Vijana tujenge kwanza kabla ya kumiliki hii kitu.
Jamaa inawezekana ndio kakumbuka sasa.
 
Magufuli akiongeza kidogo tu watayauza kwa bei ya bodaboda, ona huyu anavyohangaika mpaka leo bilabila
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…