kanyela mumo
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 2,034
- 2,124
Wenzio wanawekaga na picha gari haiuzwi kwa maandishi
Habari zenu waungwana?
Nauza Toyota Caldina ya mwaka 2002
Ukubwa wa Engine Cc 1990
Kilometa elfu 63,000
Rangi ya Gari Pearl white
Namba ni DFT
Ipo katika hali nzuri sana bei milion 9.
Unapatikana mkoa gani boss? Na kama ingewezekana tupia na kapicha kidogo tuone muonekano wake kwa sasa itasaidia kidogo kuthaminisha
Ni kweliWenzio wanawekaga na picha gari haiuzwi kwa maandishi
Weka pichaHabari zenu waungwana?
Nauza Toyota Caldina ya mwaka 2002
Ukubwa wa Engine Cc 1990
Kilometa elfu 63,000
Rangi ya Gari Pearl white
Namba ni DFT
Ipo katika hali nzuri sana bei milion 9.
Kuisoma nambaMagari yote yamepaki chini ya miti huko mitaani;
nani hata mwenye ubavu wa kumiliki gari awamu hii?