Mbona hujapigia hesabu za bumper, vioo, bonet, seats, belts, radiator, side mirrors etc? Au havipo!Comedian.inayotoka japan ni 13m. Piga tena hesabu ya registration. Rim pamoja tairi. Na radio. Hapo ndio utajua kama hii gari ni bei poa
Ukitaka kuuza gari usimkabidhi dalali,gari ya ml 6anataka 10ml.Allex mtu kafika 8mm nimekataa mkuu. Hizi gari ni modified corolla bro
Nauza gari aina ya toyota allex. Namba c. Ina rim, radio, tairi bado mpya na bado ipo bomba kabisa
Amechemka hiyo hata 5ml hapati mtumbona picha za Alteeza?
Muache aendelee kulalaWataalamu wa kiingereza hii imekaa sawa?
anamaanisha 120k, simu yake haina sufuri.Km 12k? You lied again!