Nauza toyota allex

Pazii

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2017
Posts
398
Reaction score
296
Nauza gari aina ya toyota allex. Namba c. Ina rim, radio, tairi bado mpya na bado ipo bomba kabisa
 
Bei 9mm. Silver. Imetembea 12k. 1500 cc. Namba CTF. Anaezijua hizi gari hawezi kuiacha kwa bei hiyo.
 
Bei 9mm. Silver. Imetembea 12k. 1500 cc. Namba CTF. Anaezijua hizi gari hawezi kuiacha kwa bei hiyo.

namba c hata noah huuzi kwa m9.. awamu hii...

wabongo tunaangalia sana namba... kwenye km umetudanganya japo sijaiona km 12000 ni chache sana...

gari ukiinunua mpya toyota ambayo sio mtumba na ukaiendesha mpaka mwanza na kurudi mara 5 tu ndio inakuwa na km hizo...

so gari yako unataka kusema ulinunua mpya kabisa
.. sio hizi tunazoagiza be foward
 
Bosi labda hujanielewa. Hiyo 120k ni 120000 km. Hizo gari show room ni 13m. Ni corolla modofied. Waulize wauza magari watakwambia
 
Kama upo serious nicheki 0787640213 tufanye biashara
 
Hiyo nyingine. Nitatuma ya allex pia. Hiyo inatakiwa 7.5mm. Ni 6 na imetembea 12k pia.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…