Nauza Ti

big1

Member
Joined
Dec 2, 2014
Posts
8
Reaction score
0
Nauza gar yangu aina ya Ti, iliingia Tanzania mwezi wa nne 2014 kuna mambo nataka kuyaweka sawa ndomana nauza 8.5mil, Aijawai pata ajari na ni mpya vile vile
 
Picha,manual or auto,mileage, diesel or petrol, left or right, ....Kuwa serious kidogo..
 
Gari yako alafu huna hata detail yoyote ya gari hata picha ya ubavuni?
 
TI nikiagiza toka japan mpaka ninaitoa bandarini nishalipia gharama zote cf charges, port charges,clearing charges itanikost milioni nane 8 tu.
 
Nauza gar yangu aina ya Ti, iliingia Tanzania mwezi wa nne 2014 kuna mambo nataka kuyaweka sawa ndomana nauza 8.5mil, Aijawai pata ajari na ni mpya vile vile

AH! Mimi niliposoma heading yaki "nauza ti" nikadhani unauza TIGO
 
Tuma picha koz wengne bila evidence ya pic tunakosa matumaini ya kama ni kweli ama vip...?please
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…