Nauza Tecno L8 Lte 80,000/=tsh fixed

Nauza Tecno L8 Lte 80,000/=tsh fixed

frnk

Senior Member
Joined
Jun 19, 2012
Posts
160
Reaction score
12
Habari wana jf

L8 Lite 5-Inch IPS (1GB Ram, 16GB ROM) Android 6.0 Marshmallow, 8MP real camera+ 2MP front camera, ina support games zote kubwa,fast browsing,

Kwa upande wa juu Kulia Ina crack kama inavyoonekana ila touch inafanya kaz vizur bola Shida, Inakaa na chaj vizur

Napatikana dar -ukonga 0627288599

Nb:bei haipungui zaid ya hyo ndio Maana Nimeweka bei reasonable kulingana na hadhi ya simu
IMG_20180314_093847.jpg
IMG_20180314_093855.jpg
IMG_20180314_093840.jpg
 
Punguza watu wabebe
Sikutaka kuanzia juu kama machinga, Ndio Maana Nimeweka bei Hyo kulingana na hali iliyokua nayo then anae jua huo simu Atajua jins Gani nilivyoweka uwiano
 
simu lenyewe bovu, halina warrant... kwa mtu makini ni bora kununua simu mpya...😳😳
 
Uliinunua. Dukani au kwa. MTU?
?
Kama ni dukani uliinunua kwa sh ngapi?

Na kwa sasa dukani inauzwaje?

Na unamuda gani tangu uwe nayo?

Ukijibu maswali hayo yatatupelekea kupata majibu juu ya bei yako HIYO uliyoweka kama inauwiano
 
Siku hiz naogopa simu za mikononi.niliuziwa cm nikataka kwenda kuiflash.nikapigiwa cm.na MTU simjui kuwa cm imeibiwa.na walioiba wapo polisi.walinitisha kuna MTU aliporwa na kajeruhiwa.jamaa wakaja mpaka home.sijui nani kawaonyesha.nikawapa.wale walioniuzia waliniuzia 125,000.tecno spark
 
mbona hii kama simu yangu niliyoporwa juzi juzi hapa?
 
Uliinunua. Dukani au kwa. MTU?
?
Kama ni dukani uliinunua kwa sh ngapi?

Na kwa sasa dukani inauzwaje?

Na unamuda gani tangu uwe nayo?

Ukijibu maswali hayo yatatupelekea kupata majibu juu ya bei yako HIYO uliyoweka kama inauwiano
Nilinunua Mpya sept last year ,Shida tuuu ni hapo niliiogonga bahat mbaya kwenye kioo
 
Mkuu 70000 hii hapa chukua, nipo kibiti niifuate sasa hivi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom