Nauza tablet ya itel bei sawa na bure

Nauza tablet ya itel bei sawa na bure

M2mishi

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2013
Posts
719
Reaction score
274
Nauza tabket yangu ya itel it 1702 imetumika kwa mwezi mmoja tu bei laki na nusu kwa wenyeji wa kanda ya ziwa tuwasiliane kwa namba 0753868912 na nita poat specification zake baadae kidogo pamoja na image
 
Hahaaaaa jamiiforums bwana ina watu wa kila namns
 
Back
Top Bottom