Nauza Suzuki Escudo

Newvision

JF-Expert Member
Nov 9, 2010
446
29
Ninauza Suzuki Escudo cc 1590 gray a good runner and in immaculate condition. Tsh 8.5m maelewano yapo.
 
maelezo bado hajitoshelezi
umelipia ushuru
ya mwakagani
imetembea km ngapi
 
mi mwenyewe nataka suzuki escudo, ila sijui ya mwaka gani iyo ya kwako maana bei iko juu
 
huyu anafanya biashara kama mmakonde!, weka picha, na mahanjumati mengine kama km, umesajili lini nk
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom