sawa mkuu nawekaBilly Weka Picha....Ntakutafuta Huko Kisiwani Unitafutie Simu Mbili Note 3 na Grand 2 Sumsung.
suzuki escudo model 5 door.
automatic gear
engine haijawahi kuguswa na gari haina tatizo lolote
iko dar ukihitaji kuiona nichek kwa 0656497469 ama 0763969066
Injini haijawahi kuguswa.?! Sory unamaanisha nini mkuu.?!
Tshs 4.5 Milion nipo tayari kununua!
hailipi mkuu
Picha mkuu ninahitaji
Ni TDO1W?