Nauza: Suzuki Carry T (CSK)

CHE GUEVARA-II

JF-Expert Member
Jun 17, 2010
571
156
Wadau, habari zenu?
Nauza SUZUKI CARRY, 4WD, manual, haijazidi miezi sita toka inunuliwe na kuanza kutumika. Haina tatizo lolote.
Imelipiwa kila kitu (motor vehicle licence na bima).
Sababu za kuiuza - namalizia ujenzi wa nyumba.

BEI: 7,000,000 Tshs (negotiable).
KWA MAWASILIANO: 0763718328 au PM
INAPOPATIKANA: Dar
.
Hii picha nilipiga usiku kwa ajili ya kuwapatia picha ya kile ninachosema, nitatuma picha zaidi baadaye.

Nimeweka picha zaidi.
 
Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    326.2 KB · Views: 371
Wadau, habari zenu?
Nauza SUZUKI CARRY, 4WD, manual, haijazidi miezi sita toka inunuliwe na kuanza kutumika. Haina tatizo lolote.
Imelipiwa kila kitu (motor vehicle licence na bima).
Sababu za kuiuza - namalizia ujenzi wa nyumba.

BEI: 7,000,000 Tshs (negotiable).
KWA MAWASILIANO: 0763718328 au PM
INAPOPATIKANA: Dar
.
Hii picha nilipiga usiku kwa ajili ya kuwapatia picha ya kile ninachosema, nitatuma picha zaidi baadaye.

/QUOTE]
Nimeweka picha zaidi.[
 
Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    732.9 KB · Views: 274
  • image.jpg
    image.jpg
    616.6 KB · Views: 266
  • image.jpg
    image.jpg
    822.1 KB · Views: 253
  • image.jpg
    image.jpg
    862.7 KB · Views: 238
wenye kuhitaji watakuja mkuu......ila chombo kimetuliaaaaa ngoja nijaribu kutafuta mnunuzi wa hiyo
 
Hivi kwa Dar ukiwa na suzuki carry dereva kwa siku anasubmit kiasi gani??
 
baba hii gari daraja kama hilo show rroms hapa bongo ni 6.5m to 7.5m. kama kweli unauza legeza bei tufanye biashara
 
Mkuu ni ya mwaka gani na imesisha tembea kilomita ngapi? Kuna jamaa yangu anakahitaji.

Tiba
 
Tiba, nita-check vizuri katika documents.
Hata milleage nita-check pia. Lakini ilikuwa inabeba vyakula vya mifugo tu (hususan nyasi za ng'ombe) na ku-park.
Nadhani ni ya 1998 au zaidi.

"by default" 5M hailipi.

Mwenye 6.5M alete achukue gari.
 
Gari bado ipo sokoni.
 
Back
Top Bottom