dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,832
- 20,350
- Thread starter
-
- #741
Wasukuma hawahawa wakina pasco Mayalla na Nyani Ngabu?Miji ya wasukuma kama kahama, ushirombo, katoro, dutwa, nk. Huko kote kuna minada karibia kila wiki ukienda huko unauza tena kwa bei mara mbili ya unayouza sasa wasukuma wanapenda sana hayo mambo tena upeleke nyingi za kufanana wanapenda wavae zinazofanana mtaani
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana ndg mfanyabiasharaWandugu nauza kadeti original tsh.23,000 ni za kuvutika na staff jeans (office jeans) tsh 22,000 pia jeans 18,000 pamoja na mashati na
t-shirt18,000 nipo dar es salaam ukiwa dar nakuletea ulipo namba yangu 0657438581 WhatsApp pia ipo
hizo ni baadhi ya kadet karibuniView attachment 547969View attachment 547970View attachment 547971View attachment 547972View attachment 547973
Size kuanzia 30 mpaka 40
Mkuu unachopost na ulahalisia ni vitu viwili tofauti kabisa, ulinileteaga siku fln tatu huku tabata aisee hamna kazi kabisa hpo mzee, ukivaa sana ni ndani ya mwezi ngoma ni fully mpauko mpk utaichukia
Kamanda!Mkuu unachopost na ulahalisia ni vitu viwili tofauti kabisa, ulinileteaga siku fln tatu huku tabata aisee hamna kazi kabisa hpo mzee, ukivaa sana ni ndani ya mwezi ngoma ni fully mpauko mpk utaichukia
Miez mitatu iliyopita, hii ni product yako ebu cheki ndani ya miez mitatu ilivyokuwa nyang'anyang'a na inavaliwa kwa wiki mara moja tuKamanda!
Nilikuletea lini mwaka huu? ilikua ni staff Jeans.?
Mzee vipiAahaa [emoji848]
Naona hatimaye umeachana rasmi na biashara hii. Shida nini?Mzee vipi