Tegalugaba Honoratus
New Member
- May 3, 2023
- 2
- 1
Nauza sungura hao nipo Mapinga jirani na Bunju.
Simu: 0748288033
Simu: 0748288033
Mbona bei ndogo sana au wa wizi?Bei laki na nusu
Kwamba Bei ndogo Sana. Nmejikuta nacheka.😂😂😂😂Mbona bei ndogo sana au wa wizi?
Mamaeeh huyu sungura anazaa Hela[emoji849][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kwamba Bei ndogo Sana. Nmejikuta nacheka.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bei kuliko mbuzi?
[emoji3][emoji38][emoji1787]Mbona bei ndogo sana au wa wizi?