makondekoujiji
JF-Expert Member
- Aug 31, 2015
- 384
- 500
Kapeti limeshachukuliwa,kitanda nitaweka picha nikirudi homeweka kitanda tufanye biashara, pia hilo kapeti bei gani
Halina shida mkuu nauza vitu vyangu sababu nahama mkoa.Sofa Shida yake niniii?????
PoapoaAhaa bhasi ntakuchek mkuu...!
Mkuu nilithishe chumbaHabar,
Kama kichwa cha habari hapo juu.
Sofa la watu wawili 70,000.
Kitanda 5×6 120,000.
Subwoofer seapiano old mord 100,000.
Nipo Tabat Dar.
Note😛icha yakitanda nitaiweka baadae nikurud home.0629981738View attachment 933767View attachment 933768View attachment 933770View attachment 933779
Kimeshapata mtu mkuuMkuu nilithishe chumba
Zipo mkuu ila hazijabanguliwaKorosho unazo mkuu
[emoji2][emoji2]Zipo mkuu ila hazijabanguliwa
Kuelekea wap mkuu?mkuu unaweza kulipandisha gari hilo sofa
Vyuma vimekaza mkuu acha tu tusaidiane.Unauza bei rahisi sana mkuu ongeza 1000,000 kwa kila unachouza nichukue fasta
Hiyo Ni hela nzur tu lakini hailipi kabisaSofa kuna 40k hapa
Nyeusi ya nyaunyauSofa ni rangi gani iyo naona manyaunyau