Jamaa wamempiga aisee mpaka 28,000 kwa bei ya jumlaKama hiyo nimenunua jana dkni kwa sh 35,000
Atakuwa msukuma huyu ndo zao kupigwa,mwingine nae walimpiga canada alinunua mafeni akidhani ndegeJamaa wamempiga aisee mpaka 28,000 kwa bei ya jumla
Wapi hapo nahitaji, naomba unielekeze mkuuJamaa wamempiga aisee mpaka 28,000 kwa bei ya jumla
Wapi hapo nahitaji, naomba unielekeze mkuuJamaa wamempiga aisee mpaka 28,000 kwa bei ya jumla
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Atakuwa msukuma huyu ndo zao kupigwa,mwingine nae walimpiga canada alinunua mafeni akidhani ndege
Ni kweli mkuu inauzwa hadi 15000Jamaa wamempiga aisee mpaka 28,000 kwa bei ya jumla
Eèee jamaa walifika hadi 10000 heavy duty brand hiyo hiyoWw wafahamu heavy duty?