Nauza Solar Power

ASCUDA T

Senior Member
Joined
Sep 10, 2013
Posts
120
Reaction score
33
Nauza Solar Ya Panel 5 Kwa Sh 600000/= Laki Sita Kama Unahitaji Nicheki Kwa Namba 0653663399 Au 0756027836
 
Nauza Solar Ya Panel 5 Kwa Sh 600000/= Laki Sita Kama Unahitaji Nicheki Kwa Namba 0653663399 Au 0756027836

kaka si uweke habari iliyokamilika

1. hizo Solar Panel ni za watts Ngapi
2. Unauza na charger controller na invetor?
3. Kuna Battery ngapi na za Volt ngapi kwenye hiyo system?
 
Laki mbiiliii....tatuuuu kwa kitukooooooo

Laki tanooo lakitanoooo kwa matolaaaa


Lakisita. Lakisita. Laki sitaaaa kwa Mara ya kwanza

LAKISITA. KWA MARA YA PILIIIIIIIII


LAKISITA KWA MARA YATATUUUUUUUUU


TOP. KWA MANDENYII.................
 
Acha utani dogo,
Nahitaji hii kitu;
Nina mahali nataka niitumie nje ya mji kidogo;
Kama unayo tuongee biashara.
Laki mbiiliii....tatuuuu kwa kitukooooooo

Laki tanooo lakitanoooo kwa matolaaaa


Lakisita. Lakisita. Laki sitaaaa kwa Mara ya kwanza

LAKISITA. KWA MARA YA PILIIIIIIIII


LAKISITA KWA MARA YATATUUUUUUUUU


TOP. KWA MANDENYII.................
 
Poa,
Weka hii kitu ili nione

1. hizo Solar Panel ni za watts Ngapi
2. Unauza na charger controller na invetor?
3. Kuna Battery ngapi na za Volt ngapi kwenye hiyo system?

Zipo nying kama yeye keshauza mininazo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…