Ray 4 real JF-Expert Member Joined Feb 20, 2014 Posts 801 Reaction score 764 Sep 20, 2017 #1 Habari za usiku huu wapendwa nipo dar nauza sofa (120000) , fern 15000 pamoja na decorder ya Startimes na antenna yake na waya 40000 vifaa vyote hivo havijatumika sana Nipo dar vingunguti, kwa maelezo zaidi pm
Habari za usiku huu wapendwa nipo dar nauza sofa (120000) , fern 15000 pamoja na decorder ya Startimes na antenna yake na waya 40000 vifaa vyote hivo havijatumika sana Nipo dar vingunguti, kwa maelezo zaidi pm
zugazuga na mimi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2017 Posts 241 Reaction score 77 Sep 20, 2017 #2 sawa mkuu
Ray 4 real JF-Expert Member Joined Feb 20, 2014 Posts 801 Reaction score 764 Sep 20, 2017 Thread starter #3 zugazuga na mimi said: sawa mkuu Click to expand... We hutaki mkuu
zugazuga na mimi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2017 Posts 241 Reaction score 77 Sep 20, 2017 #5 Ray 4 real said: We hutaki mkuu Click to expand... ninavyo mkuu
yajutu JF-Expert Member Joined Sep 5, 2016 Posts 951 Reaction score 1,207 Sep 20, 2017 #6 Hilo sofa punguza bei
Zesh JF-Expert Member Joined Apr 27, 2017 Posts 15,450 Reaction score 25,155 Sep 20, 2017 #7 Weka bei
jay311 JF-Expert Member Joined Oct 21, 2012 Posts 2,932 Reaction score 2,720 Sep 20, 2017 #8 Nipo mbezi mwisho nauza friji/refrigerator kwa shilingi 50,000(elfu hamsini) Brand=SHARP capacity =158litres
Nipo mbezi mwisho nauza friji/refrigerator kwa shilingi 50,000(elfu hamsini) Brand=SHARP capacity =158litres
sinamvuto JF-Expert Member Joined Dec 5, 2013 Posts 527 Reaction score 893 Sep 20, 2017 #9 Aisee!! nigekuwa nipo dar,nungekuunga kwa kununua hiyo feni
P paschal sabai Member Joined Apr 5, 2017 Posts 83 Reaction score 73 Sep 20, 2017 #10 jay311 said: Nipo mbezi mwisho nauza friji/refrigerator kwa shilingi 50,000(elfu hamsini) Brand=SHARP capacity =158litres Click to expand... weka picha
jay311 said: Nipo mbezi mwisho nauza friji/refrigerator kwa shilingi 50,000(elfu hamsini) Brand=SHARP capacity =158litres Click to expand... weka picha
Ray 4 real JF-Expert Member Joined Feb 20, 2014 Posts 801 Reaction score 764 Sep 20, 2017 Thread starter #11 yajutu said: Hilo sofa punguza bei Click to expand... Kwa bei gani
Ray 4 real JF-Expert Member Joined Feb 20, 2014 Posts 801 Reaction score 764 Sep 20, 2017 Thread starter #12 zeshchriss said: Weka bei Click to expand... Nimeweka mkuu , fern 15000, sofa 120000 Startimes na antenna yake 40000
zeshchriss said: Weka bei Click to expand... Nimeweka mkuu , fern 15000, sofa 120000 Startimes na antenna yake 40000
Ray 4 real JF-Expert Member Joined Feb 20, 2014 Posts 801 Reaction score 764 Sep 20, 2017 Thread starter #13 sinamvuto said: Aisee!! nigekuwa nipo dar,nungekuunga kwa kununua hiyo feni Click to expand... Sawa mkuu
sinamvuto said: Aisee!! nigekuwa nipo dar,nungekuunga kwa kununua hiyo feni Click to expand... Sawa mkuu
Tinted Ruksa Member Joined Aug 7, 2017 Posts 49 Reaction score 25 Sep 20, 2017 #14 jay311 said: Nipo mbezi mwisho nauza friji/refrigerator kwa shilingi 50,000(elfu hamsini) Brand=SHARP capacity =158litres Click to expand... Mwivi utamjua tu tena kwa matendo yake.ushaur wa kilele cha mlima kitonga bro "pambana na uwizi wako"
jay311 said: Nipo mbezi mwisho nauza friji/refrigerator kwa shilingi 50,000(elfu hamsini) Brand=SHARP capacity =158litres Click to expand... Mwivi utamjua tu tena kwa matendo yake.ushaur wa kilele cha mlima kitonga bro "pambana na uwizi wako"
Tinted Ruksa Member Joined Aug 7, 2017 Posts 49 Reaction score 25 Sep 20, 2017 #15 Ray 4 real said: Nimeweka mkuu , fern 15000, sofa 120000 Startimes na antenna yake 40000 Click to expand... Kwa nini unaviuza?
Ray 4 real said: Nimeweka mkuu , fern 15000, sofa 120000 Startimes na antenna yake 40000 Click to expand... Kwa nini unaviuza?
babilas25 JF-Expert Member Joined Feb 10, 2014 Posts 483 Reaction score 359 Sep 20, 2017 #16 jay311 said: Nipo mbezi mwisho nauza friji/refrigerator kwa shilingi 50,000(elfu hamsini) Brand=SHARP capacity =158litres Click to expand... Picha tafadhari mkuu
jay311 said: Nipo mbezi mwisho nauza friji/refrigerator kwa shilingi 50,000(elfu hamsini) Brand=SHARP capacity =158litres Click to expand... Picha tafadhari mkuu
Zesh JF-Expert Member Joined Apr 27, 2017 Posts 15,450 Reaction score 25,155 Sep 20, 2017 #17 jay311 said: Nipo mbezi mwisho nauza friji/refrigerator kwa shilingi 50,000(elfu hamsini) Brand=SHARP capacity =158litres Click to expand... Weeeeeeee acha masihara weka picha
jay311 said: Nipo mbezi mwisho nauza friji/refrigerator kwa shilingi 50,000(elfu hamsini) Brand=SHARP capacity =158litres Click to expand... Weeeeeeee acha masihara weka picha
Ray 4 real JF-Expert Member Joined Feb 20, 2014 Posts 801 Reaction score 764 Sep 20, 2017 Thread starter #18 Tinted Ruksa said: Kwa nini unaviuza? Click to expand... Nahitaji pesa mkuu
chakii JF-Expert Member Joined Sep 15, 2013 Posts 21,369 Reaction score 27,785 Sep 20, 2017 #19 Ray 4 real said: Nahitaji pesa mkuu Click to expand... Hiyo Receiver namtuma dogo aje na elfu 30 mkuu
Ray 4 real said: Nahitaji pesa mkuu Click to expand... Hiyo Receiver namtuma dogo aje na elfu 30 mkuu
Ray 4 real JF-Expert Member Joined Feb 20, 2014 Posts 801 Reaction score 764 Sep 20, 2017 Thread starter #20 chakii said: Hiyo Receiver namtuma dogo aje na elfu 30 mkuu Click to expand... Hailipi mkuu