Nauza sofa na stand ya Tv flatscreen

Kakakuona

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2013
Posts
345
Reaction score
201
Sofa1 ya watu3 na mbili za mtu1 pamoja stand ya Tv flatscreen. Ni PM au txt-0656063933
 
Uko wap?, weka picha, how long old for sofa.
 
Hiyo stand shilingi ngapi bwana?
 
Nipe na idadi ya panya kwenye masofa maana nijue nahitaji paka wangapi!samahani lakini! Utitiri!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…