Nauza smartphone ya kichina.

Nauza smartphone ya kichina.

Rate this phone

  • I want it.

    Votes: 1 100.0%
  • I don't want it.

    Votes: 0 0.0%

  • Total voters
    1
  • Poll closed .

madaili

Member
Joined
Mar 6, 2014
Posts
32
Reaction score
27
MUHIMU: Huu mzigo ushaisha, samahani kwa usumbufu wadau.
Habari wakubwa, nilikuwa na kamzigo kangu nimekatuma nchini. Kameuzika vizuri tuu, zimebakia simu mbili za kichina.
4.5", betri mbili, head phone na charger, leather case etc
Kimsingi zipo poa tuu, perfomance na specs za smartphone kama wi-fi, 3g zote zinahusika.Ziko vizuri tuu zakaribiana na samsung galaxy. Kama unaishi DSM, tunaweza kuwasiliana ili nikupe mahala unapoweza kwenda kuithaminisha. Jamaa aliyekuwa ananisaidia kunisukumia haka kamzigo amepatwa na dharura, kwa hiyo naomba wakuu wa jamiiforums mnisaidie kuniwekea tangazo langu hapa.
Bei ni TSHS. 120,000/-
Mtu ambaye yupo siriazi nitumie email au whatsapp au msg, then nitakuunganisha na mtu ambaye atakutafuta hapo dar uthaminishe mzigo.
email:1500319909@qq.com phone:008615102742792 whatsapp:008613098807125
heeyu.jpg7dbxa.gif
 
Hata simu za kichina zina majina "paizi", sasa hebu tutajie jina la hii makitu isijekuwa ni "shui huo".
 
Back
Top Bottom