Nauza Smartphone mpya kwa 85,000/=

Nauza Smartphone mpya kwa 85,000/=

kitumbotala

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2015
Posts
516
Reaction score
625
SIMU IMESHAUZWA.
 

Attachments

  • IMG_20180714_114623.jpg
    IMG_20180714_114623.jpg
    71.1 KB · Views: 38
  • IMG_20180714_114351.jpg
    IMG_20180714_114351.jpg
    56.4 KB · Views: 40
  • IMG_20180714_114344.jpg
    IMG_20180714_114344.jpg
    45.2 KB · Views: 38
  • IMG_20180714_114326.jpg
    IMG_20180714_114326.jpg
    53.5 KB · Views: 39
Sasa hao itel na tecno ni kampuni moja
 
wanawake wana roho mbaya yan umempelekea zawadi na amekataa! ungemwambia ATAPATA T ABU SANA
Ha ha ha yaweza kuwa kinyume mtoto wa watu kasema kaniletee simu sio itel hela hii hapa .Ujanja wa mjini mtu kamletea itel akisema hii sawa tu Na techno, Samsung nk mwenyewe labda kadinda sitaki simu Wala nini nipe pesa yangu vinginevyo nakupeleka polisi so anahaha kuuza
 
Depreciation ya bidhaa inaanzia pale tu unapotoka nje ya duka. Umenunua 85K na unauza 85K? Utapata tabu sana.
 
Itel sio sim hata waje vpi yaani wenyewe wametolea kopy kwenye tecno na tecno kama unavyo wajua sasa itel"
 
Itel sio sim hata waje vpi yaani wenyewe wametolea kopy kwenye tecno na tecno kama unavyo wajua sasa itel"
Tecno na Itel ni kampuni moja.

Umeiona itel s31? S32?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom