Simon Kaboja
Senior Member
- Nov 13, 2016
- 165
- 117
Sina izo mkuuMimia nataka spy watch kama unayo nicheki.
Bidhaa zinatofautina na ubora piaNimeipata juzi kwa 52000 pamoja na delivery, sasa naona kama bei yako kubwa mno, almost mara mbili, angalia hilo kaka
I find it hard to believe,Bidhaa zinatofautina na ubora pia
niliwah kununua inayoingia line na memory card kwa elf 30 tu japo niliagiza nje hii yake bei na haina sehem ya lineNimeipata juzi kwa 52000 pamoja na delivery, sasa naona kama bei yako kubwa mno, almost mara mbili, angalia hilo kaka
Sasa hapo ndio utata unapoanzia, lakini tuache tuone itakuwaje maana biashara ya mtu hiiniliwah kununua inayoingia line na memory card kwa elf 30 tu japo niliagiza nje hii yake bei na haina sehem ya line
ni kweli tusiongee sanaSasa hapo ndio utata unapoanzia, lakini tuache tuone itakuwaje maana biashara ya mtu hii
Ooh yeah!ni kweli tusiongee sana
ndio kilichobakiaOoh yeah!
Let's wish him good of luck
Nakubalindio kilichobakia
ayaNakubali
Mkuu mbona bei ipo juu sana??mf ukiagizia kupitia all express bei yako ni ndogo sana unaweza pata kwa 25 hadi 30,, tofaut na hyo bei yakoSmart Watch
For IOS an Android users
Keep active, Stay motivated!
By FHS technologies * Auto sleep tracking
* Heart rate fitness tracker
* Call and SMS alert
* Phone notification
* Phone GPS supported
*Camera remote shoot
* Vibration clock and sedentary reminder
Bei: 90,000/=
Simu: 0656190449
#SKMOFFER
Sawa nakushauri uagize , iyo ndo bei yakeMkuu mbona bei ipo juu sana??mf ukiagizia kupitia all express bei yako ni ndogo sana unaweza pata kwa 25 hadi 30,, tofaut na hyo bei yako