Nauza smart TV TCL inch 55..

Nauza smart TV TCL inch 55..

Wakuu nmepatwa na shida nauza TV yangu aina ya Tcl..
Nmeitumia mwezi mmoja tu..
Nmeirudisha ndani ya box lake
Bado mpyaa
Bei ni 1700,000
0713799522
Ina warranty na kila kitu chake
7c3f7889cb932bc465bcc190ce2be0b4.jpg

2ffb17afa44f68fc20d5d759c635a20d.jpg
b588bc32b0dbc541618a47b909990516.jpg
tuonyeshe tv hatutaki box kijana wangu piga picha na ufute hizo
 
Sijaelewa kabisaaaaaaa!!sasa sijui nimacho yangu?au akili yangu ndo inachelewa kufikia malengo
 
Maneno yako naona kama yamekaribiana na ukweli. TV katumia mwezi mmoja hajabandua hata vibandiko??

Kuna kitu kisicho cha kawaida kuhusu hii TV

Nakumbuka zilikuja picha za box pekee huku TV ikiwa haionekani

Sasa tena TV imetumika mwezi mmoja ila hata zile karatasi hwzijabanduliwa

Huenda mleta mada kaiokota TV.Au kama kanunua aweke picha ya risiti hapa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom