Pangah2011
JF-Expert Member
- Apr 29, 2012
- 260
- 218
Sasa hii nayo hadi ukanunue? si uniombe tu nikupe?
Weka picha ya bidhaa yako tafadhali
Daah jamaa amegeuza JF sehemu ya matani siyo?????
Wewe ni nani mpaka ujue siri za kila kitu wanachohitaji watu????
Naomba password ya INVISIBLE