Nauza simu.

matatizo ya kuanza biashara uzeeni! ! hivi utafanyaje biashara bila kueleza upo wap. na je simu mpya au used pamoja na namba zako.na ata kuweka picha. kwa mtindo huu jumuiya ya afrika mashariki tutaachwa nyuma.
 
Mmh! Umenifurahisha mkuu.
 
Haya mzee naweka lakin simu bado mpya
 
matatizo ya kuanza biashara uzeeni! ! hivi utafanyaje biashara bila kueleza upo wap. na je simu mpya au used pamoja na namba zako.na ata kuweka picha. kwa mtindo huu jumuiya ya afrika mashariki tutaachwa nyuma.

hahahahhah well said
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…