mr chopa JF-Expert Member Joined Aug 26, 2016 Posts 5,296 Reaction score 13,740 Oct 1, 2016 #1 Samsung note 4 imetumika wiki moja tu
mr chopa JF-Expert Member Joined Aug 26, 2016 Posts 5,296 Reaction score 13,740 Oct 1, 2016 Thread starter #2 Bei laki 6 cash ukihitaji nicheki 0659620000
Ushimen JF-Expert Member Joined Oct 24, 2012 Posts 42,515 Reaction score 105,148 Oct 1, 2016 #3 Tangazo lako halija kamilika ndugu. Malizia kwa kuweka specifications za sim unayo iuza pamoja na bei
Tangazo lako halija kamilika ndugu. Malizia kwa kuweka specifications za sim unayo iuza pamoja na bei
Lumbi9 JF-Expert Member Joined Oct 12, 2014 Posts 8,738 Reaction score 12,426 Oct 1, 2016 #4 Hiyo U hapo nyuma ipo wapi?
Kaputupu JF-Expert Member Joined Feb 1, 2014 Posts 1,486 Reaction score 1,179 Oct 1, 2016 #5 peterchoka said: Hiyo U hapo nyuma ipo wapi? Click to expand... Halafu ni ya week moja
black chinese JF-Expert Member Joined Aug 1, 2016 Posts 1,148 Reaction score 1,229 Oct 1, 2016 #6 Ndani ya wiki moja imeshapoteza U!!!!... baada ya mwezi unaweza kuta camera ya simu nayo imepotea......shikamoo mchina.
Ndani ya wiki moja imeshapoteza U!!!!... baada ya mwezi unaweza kuta camera ya simu nayo imepotea......shikamoo mchina.
mr chopa JF-Expert Member Joined Aug 26, 2016 Posts 5,296 Reaction score 13,740 Oct 1, 2016 Thread starter #7 black chinese said: Ndani ya wiki moja imeshapoteza U!!!!... baada ya mwezi unaweza kuta camera ya simu nayo imepotea......shikamoo mchina. Click to expand... Asante mkuu
black chinese said: Ndani ya wiki moja imeshapoteza U!!!!... baada ya mwezi unaweza kuta camera ya simu nayo imepotea......shikamoo mchina. Click to expand... Asante mkuu