Nauza simu ya ofisini(IP Phone) mpya kabisa.

john_thesmart

Senior Member
Joined
Jan 20, 2022
Posts
135
Reaction score
379
Hii simu nilimuagizia mtu ila anasema mteja wake ameahirisha ghafla, kwa kuwa ni ndugu yangu siwezi kumforce aichukue hivyo naiuza kwa bei ya hasara tu. Ni IP phone kwa anayezijua, mpya kabisa kwenye box lake. Nipe 100,000 tu. Sifa zake zipo hapo chini na picha nimeweka
Display2.4-inch (320x240) backlit color screen
SIP Lines4 lines
Network PortsDual 10/100/1000 Mbps Gigabit Ethernet
Power SupplyIntegrated PoE (Class 1) or optional 5V/0.6A DC adapter
Audio QualityHD Voice (Handset & Speaker) with G.722 and Opus codecs
Conferencing6-way local audio conferencing
Headset PortRJ9 interface with EHS support for wireless headsets
Storage Capacity1,000 phonebook entries / 600 call logs



 
Inatumia raini za kawaida? Kwamba inawezekana ikatumiwa kwa matumizi ya nyumbani
 
Kama haitumii line inatumikaje ? Ama n landline kama zile za TTCL ?
ndio maana nikasema kwa anayezijua. Simu sio lazima zitumie line, hizi zinatumia ethernet cable na zinakuwa controlled na PBX, zinatumika maofisini. Unavyoona ofisi fulani kila mfanyakazi ana simu mezani unadhani zile zote kila moja ina laini yake? Nakaribisha swali kama unalo
 
Mipasho ya nini ndugu mfanyabiashara? Unapomuelimisha mtu ni vizuri kuliko kuanza maneno ya kuwananga watu
 
Mipasho ya nini ndugu mfanyabiashara? Unapomuelimisha mtu ni vizuri kuliko kuanza maneno ya kuwananga watu
Bahati nzuri aliyeuliza amejibiwa vizuri tu na ameridhika. Nadhani wewe ndio umeamua kuleta mipasho, nakutakia siku njema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…