Traviana Tray
JF-Expert Member
- Jul 8, 2017
- 546
- 457
weka picha.Habari zenu? Nauza simu touch screen model:it1408. haijachoka wala haina mkwaruzo wowote;
.Ina screeun protector
.ina cover yake
.ina charge yake
.ina ear phone yake
NB:Ina play store,WhatsApp,opera mini nk.una rusiwa kuikagua tukionana na ukiwa tayari kununua.BEI ni tsh 150,000 UKIWA SERIOUS ni PM
Sio lazma ununue we we.Sijawahi ona tangazo la simu lipo hivi!! Seriously yaan unaongelea screen protector, cover na charger na earphone badala ya ubora wa simu??? Smh...
Nipe namba ya whasap nikutumieweka picha.
Shoo ni ushauri tuu maana kwa hizo specification zako sidhan km kuna mtu atanunua[emoji2] [emoji2] [emoji2]Sio lazma ununue we we.
Ukimwambia anakua mkaliKuna brand inaitwa touch screen? sema brand ndo itavuta au kufukuza watu
Jamani msameheni huyu ana matatizo makubwa sana huenda anatafuta hela ya matibabuUkimwambia anakua mkali
Huko vijijini ataiuza mana huko sifa kubwa ni touch hata simu iwe ni java watanunuaUkimwambia anakua mkali
Maneno ya mkosajiJamani msameheni huyu ana matatizo makubwa sana huenda anatafuta hela ya matibabu
WhateverHuko vijijini ataiuza mana huko sifa kubwa ni touch hata simu iwe ni java watanunua
Imekoma ile ... kutokaManeno ya mkosaji
Hii ni kwa muhitaji kama huna hela kaa pembeni.pia sihitaji msaada wa kuuziwa we tafta hela zako kwa style yako sio udalali.[emoji16][emoji16] tangazo la simu mwaka 2010 mnadani tena…..
Simu ina bluetooth
Seem ya kuweka memor
kava lake
fm radio
GPRS
Njoo PM nikuuzie simu yako dada
Mzee wa kuliwa KIBOGA una mambo wewe khaaaImekoma ile ... kutoka
Hahahaahh! NimechekaaJamani msameheni huyu ana matatizo makubwa sana huenda anatafuta hela ya matibabu
Yaani, eti mwenyew anasema kabisa nauza touch screen hahaahhahHuko vijijini ataiuza mana huko sifa kubwa ni touch hata simu iwe ni java watanunua
Huna hela kaa kando uliwe kiboga vizuri kama dampaYaani, eti mwenyew anasema kabisa nauza touch screen hahaahhah