habari ya muda huu wakuu..
-kuna simu nauza aina ni samsung z2
-rangi silver..
-memory internal 8gb
-inasoma 4g..
simu ipo Moshi..
kwa mwenye uhitaji..
0717808593
Naitaka ila unipe na tisit uliyo nunulia mwanzo
Hapo mosh nlinunua simu tena Dukan halafu sikuchukua risit yaliyonikuta nihatar faya nilikoma
Watu wa Moshi wajanja Sana