we dogo hizi simu zinatolewa na Kampuni ya Tigo kwa sh 99,000/ mpaka Tecno Y3+
airtel kwa muda wa maonezi wa 66,000/
pili Tecno tunaziogopa bora kamzawadie nduguyo
simu ya Mchina unatuma sms yenyewe inamtukana uliyemtumia
"Hongera" inaandika nguruwe
kazi kweli kweli
acha wennye we waingie dukani