Naomba kujuzwa bei ya simu ya aina ya F2 Tecno mpya

Msokwa1

JF-Expert Member
Mar 2, 2018
470
511
Habari WanaJamiiForums,

Wakuu naomba kujuzwa bei ya Smartphone Tecno F2 mpya

Je, dukani inauzwa bei gani?
 
Kwa specs zake hiyo simu haitazidi 150,000/. Kwanini unataka simu ya mwaka 2018 tena tecno yenye 1GB Ram na 8GB Rom. ?

From JF App
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom