SOWETO_MAN Member Joined May 4, 2021 Posts 69 Reaction score 32 Dec 7, 2021 #1 Habari za muda huu wana jukwaa? Niko na simu janja aina ya Redmi note 9 iliyo tumika miezi mitano ambayo ipo katika excellent conditions! Bei yake ni fixed kwa laki tatu na nusu tu (350,000/=). Napatikana Dodoma kwa mawasiliano zaidi piga 0763797102!
Habari za muda huu wana jukwaa? Niko na simu janja aina ya Redmi note 9 iliyo tumika miezi mitano ambayo ipo katika excellent conditions! Bei yake ni fixed kwa laki tatu na nusu tu (350,000/=). Napatikana Dodoma kwa mawasiliano zaidi piga 0763797102!
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,230 Reaction score 68,250 Dec 7, 2021 #2 SOWETO_MAN said: Habari za muda huu wana jukwaa?...niko na simu janja aina ya Redmi note 9 iliyo tumika miezi mitano ambayo ipo katika excellent conditions! Bei yake ni fixed kwa laki nne na nusu tu (450,000/=)...Napatikana Dodoma kwa mawasiliano zaidi piga 0763797102!View attachment 2036288View attachment 2036289View attachment 2036290View attachment 2036291View attachment 2036292 Click to expand... Redmi note 10 mpya kwasasa ni 450k
SOWETO_MAN said: Habari za muda huu wana jukwaa?...niko na simu janja aina ya Redmi note 9 iliyo tumika miezi mitano ambayo ipo katika excellent conditions! Bei yake ni fixed kwa laki nne na nusu tu (450,000/=)...Napatikana Dodoma kwa mawasiliano zaidi piga 0763797102!View attachment 2036288View attachment 2036289View attachment 2036290View attachment 2036291View attachment 2036292 Click to expand... Redmi note 10 mpya kwasasa ni 450k
SOWETO_MAN Member Joined May 4, 2021 Posts 69 Reaction score 32 Dec 7, 2021 Thread starter #3 Camilo Cienfuegos said: Redmi note 10 mpya kwasasa ni 450k Click to expand... Huku Dom hii niliichukua kwa 500K ...hyo bei nadhan ni ya Dar!
Camilo Cienfuegos said: Redmi note 10 mpya kwasasa ni 450k Click to expand... Huku Dom hii niliichukua kwa 500K ...hyo bei nadhan ni ya Dar!
Bepari la Kinyambo JF-Expert Member Joined Apr 29, 2020 Posts 1,223 Reaction score 1,520 Dec 7, 2021 #4 Ukikosa mteja chukua laki3 unitumie kwenye bus
SOWETO_MAN Member Joined May 4, 2021 Posts 69 Reaction score 32 Feb 13, 2022 Thread starter #5 Bepari la Kinyambo said: Ukikosa mteja chukua laki3 unitumie kwenye bus Click to expand... Nipe 350 boss
Bepari la Kinyambo said: Ukikosa mteja chukua laki3 unitumie kwenye bus Click to expand... Nipe 350 boss
wajingawatu JF-Expert Member Joined Jan 20, 2013 Posts 2,051 Reaction score 2,462 Feb 13, 2022 #6 SOWETO_MAN said: Nipe 350 boss Click to expand... Hapo juu umeandika bei ni fixed 450k, mara nipe 350k, naamini hata 50k utauza. Risiti na box lake unavyo?
SOWETO_MAN said: Nipe 350 boss Click to expand... Hapo juu umeandika bei ni fixed 450k, mara nipe 350k, naamini hata 50k utauza. Risiti na box lake unavyo?
M Mpembawise Senior Member Joined Jan 14, 2022 Posts 132 Reaction score 1,218 Feb 13, 2022 #7 Ukiuza njoo nkupe note 10 ya India, utaongeza ya chai, mimi nkachukue 11
The Icebreaker Platinum Member Joined Apr 24, 2014 Posts 34,212 Reaction score 103,108 Feb 13, 2022 #8 SOWETO_MAN said: Nipe 350 boss Click to expand... Hapa ndio umeshaiharibu biashara wewe mwenyewe.
jiwe angavu JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 21,695 Reaction score 41,857 Feb 13, 2022 #9 Naombeni kujua ubora na uzuri wa hizi aina za simu. #MaendeleoHayanaChama
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 166,461 Reaction score 185,071 Feb 13, 2022 #10 Ahsante kwa taarifa...