Nauza Simu Infinix hot 40 pro

kwa bei hiyo ni vigumu sana kupata mteja.
NI kweli Mungu atasaidia ndugu yangu maana simu NI mpya kabisa na bei inaongeleka Mungu atanifanyia wepesi katika hili Asante Kwa meseji yako yakunifanya nikate tamaa๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„
 
Shida moja Infinix siku hizi wanazingua. Matoleo ya aina zote (Smart series, Hot series, Note series?) Zote zinafanana huwezi hata kuzitofautisha.
 
Naomba nilipie laki na 50.
KAZI ni kipimo cha UTU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ