Nauza simu aina ya tecno c8

Nauza simu aina ya tecno c8

Fundi umeme

Senior Member
Joined
Jun 17, 2016
Posts
116
Reaction score
24
Nauza Simu aina ya tecno c8 Simu haina tatizo lolote na simu imetumika kwa miezi sita tu simu ina uwezo mzuri sana katika utendaji kazi so hautajutia kuinunua na ukiitumia ukagundua tatizo lolote utarudishiwa hela yako bei ni tsh 220,000 na mawasiliano ni 0715 505115. 0753505115 au 0689330820.
 
Nauza Simu aina ya tecno c8 Simu haina tatizo lolote na Simu imetumika kwa miezi sita tu Simu ina uwezo mzuri sana katika utendaji kazi so hautajutia kuinunua na ukiitumia ukagundua tatizo lolote utarudishiwa hela yako bei ni tsh 220,000 na mawasiliano ni 0715 505115. 0753505115 au 0689330820.
Hiyo pesa kubwa sana,Tecno Spark ipo sokoni,mpya kabisa ni 195000.
Hiyo labda useme 120000 nikutafutie mtu sasa hivi!!!
 
Hiyo pesa kubwa sana,Tecno Spark ipo sokoni,mpya kabisa ni 195000.
Hiyo labda useme 120000 nikutafutie mtu sasa hivi!!!
Kaka mm nauza c8 na sio tecno spark so kuwa mwelewa anaetaka spark mpeleke dukani.
 
Huo mzigo bei yake kwa sasa iko chini mkuu punguza kidogo tuongee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom