Du kweli kazi ipo, sasa huyu jamaa ameshindwa hata kukopi na kupaste kutoka kwenye hiyo simu yake maandishi sahihi? All in all kuna tatizo na ni tatizo la kitaifa, nimeshawahi kusoma humu mtu anauza "flame", "abilia" "poli kwa poli", "plomotion" etc. lakini hii ya leo kali!!!