Nauza simbilisi (guinea pigs)

Nauza simbilisi (guinea pigs)

deletedUser

New Member
Joined
Jan 9, 2013
Posts
3
Reaction score
3
Siuzi mmoja mmoja ,nauza kuanzia kumi na kuendelea. Nipo DSM.

namba. 0652612028

f029cf217bda22605fc5cf71f2272878.jpg
 
si unajua mie msukuma wa shinyanga sijui kama hawa wadudu wanaliwa na ugali, mi nkahisi labda ni aina ya panya wa kufanyia practical SUA
hapa mkuu hiyo kitu tamu sana ikiandaliwa kwa kubanika ni kama kuku.
 
not to that extent!!! appetite ya kumshughulikia huyo mdudu itatoka wapi? huyo ni jamii ya panyabuku
Hata wengine ukiwaonesha unavyobugia michembe watadhani unakula karatasi. Na jirani zenu wanaobugia senene mwingine atasema anakula funza. Tembea uone, magari!
 
Hawa wanyama kinyesi chake ni Mbolea Nzuri sana,tulikuwa tunatumia kukuzia mboga bustanini.
Ukifuga hao halafu pakawepo paka ambaye hawezi kuwatofautisha Na panya andika umeumia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom