Nauza shamba

Nauza shamba

6PN

Member
Joined
Feb 8, 2014
Posts
13
Reaction score
3
Nauza shamba eka mbili na nusu lipo maeneo ya Ngoyoni Rombo. Bei milioni 40 tu.
 
Rombo ipi mkuu maana Wachagga hawana tabia ya kuuza ardhi!!
 
Rombo mengwe karibu na kanisa la ngoyoni au ngoyoni hospital. Naliuza kwa sababu nataka nnunue lingine sehemu nyingine.
 
Rombo mengwe karibu na kanisa la ngoyoni au ngoyoni hospital. Naliuza kwa sababu nataka nnunue lingine sehemu nyingine.

Ngoja nimuite Tarimo aje apitie hapa.
 
Aise 20 hapana maama kimejaa kifusi cha moram ya uhakika. Sema kwa vile nahitaji hela ya haraka ningeuza kwanza huo
moram.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom