Wapendwa wana JF wenzangu, Natumaini hamjambo. Baada ya uhamisho wa kikazi, kunakopelekea kuhama pia makazi nje dar.
Nimeamua kuliuza shamba langu, Lina ekari 8. Shamba Lipo wilaya ya Kisarawe, kijiji cha Kisanga, Kata ya kitunda.
Shamba lina rutuba sana. Barabara ya gari mpaka shambani kwangu. Bei 10M
Mawasiliano:0767249605 / 0714888689