Wakuu, lile shamba nilisema nauza 10m nimepunguza bei sasa ni 7.3m. Nimeanza na Kujenga kibanda cha mfanyakazi badi kuezeka. Lipo Mbeya.Mbarali. Ni hekari 2.75.
Vipi mkuu? karibu tupige business. Hili eneo hata maparachichi yanastawi. Unaweza ukapiga na maparachichi humo ndani. Yanaweza kaa kama 300 hivi. Mi linanisumbua kusimamia nataka nikafungue business nyingine.
Kuna spirit ilikua imenijia ya kupanda migomba baada ya kuona uzi mmoja wadau ukiwemo wewe wanazungumzia zao hilo kama ni kitu ambacho kinalipa ila navyoona hapa sasa moyo unakwisha kabisa