Habari wapendwa poleni na majukumu.
Nauza shamba langu linapatikana mkoani
Morogoro wilaya ya
Kilosa barabara ya mikumi kilosa njiani au barabara ya Kilosa - Mikumi.
Mkoa wa
Morogoro
Wilaya ya
Kilosa
Kijiji cha
Changarawe
Kitongoji cha
Kipera Changarawe
Jina la mwenyekiti wa serikali ya mtaa Kassim Nyuki
Shamba lina ukubwa wa heka 3 {70*70}*3 shamba lipo katika hali nzuri halina visiki wala miti mikubwa nilisha lisafisha ila kuna majani tu yaliyo ota kutokana mvua zinazo endelea kunyesha.
shamba ni mali yangu halali kabisa . Hakuna wanyama wa kula mazao ni mahali salama kabisa kwa ajili ya kilimo cha aina zote.
Unawezakuafanya kilimo cha mazao yafuatayo:
*ufuta
*mihogo
*kunde
*mahindi
*mtama
*pia unaweza ukafanya ufugaji kwani maji hayapo mbali ni wastani wa mita 3 kwenda chini unapata maji
*pia unaweza ukafanya kilimo cha miti ya mbao
SHAMBA NAUZA HEKA TATU KWA PAMOJA SAWA NA SH 900,000 SAWA NA 300,000 KILA HEKA.
Mawasiliano: 0688 501810 au 0657 623266
PESA INAHITAJIKA HARAKA.
Attachments:
Karibuni sana!