Juma wa Juma
Senior Member
- Jan 13, 2017
- 150
- 221
Ndugu zangu nauza shamba la heka 5 bei milioni 2,lina mihogo heka 3,minazi 80, na miembe 20 na kuna eneo kubwa limepandwa mahindi ya muda mfupi...Shamba lipo KIBITI maelewano yao
namba ya simu kk tufanye biasharaNdugu zangu nauza shamba la heka 5 bei milioni 2,lina mihogo heka 3,minazi 80, na miembe 20 na kuna eneo kubwa limepandwa mahindi ya muda mfupi...Shamba lipo KIBITI maelewano yao