Nauza shamba kibaha visiga

Nauza shamba kibaha visiga

JBN

Member
Joined
Mar 4, 2012
Posts
84
Reaction score
15
Shamba la ukubwa wa Ekari moja(1) nauza kila kwa Shilingi Milioni tatu (3,000,000/=) Linapatika Wilaya ya Kibaha Mkoa wa Pwani barabara ya Morogoro Road eneo la Visiga Seminary Madafu, kutoka barabara ya Morogoro Road unaingia upande wa kulia unaposhuka Madafu ukitokea Dar umbali wa kilometa tano (5) kuingia eneo la shamba pia ni barabara inayotokea Bagamoyo na Tegeta. Kwa mawasiliano nipigie 0755 033 997.
 
Too expensive!! Ekari moja?
 
Ndio ni expensive fika uone ndio uongee, fikiri kwa mapana ukitaka nunua ardhi kama ni mnunuzi utajua milioni 3 ni nini kwenye ardhi na tathimini unataka fanya nini.
 
Mkuu uko juu,
Nliona hapa jamaa akiuza bei hiyohiyo but only 1.5km from main road.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom